Maelezo ya picha, Pradeep Negi anafanya kazi katika Idara ya Jal Shakti ya serikali ya jimbo na Kapil Negi anafanya kazi katika sekta ya ukarimu nje ya nchi. 3 Agosti 2025 Muda wa kusoma: Dakika 7 ...
Mwanamuziki Mmarekani Beyoncé amefanya tamasha kwenye sherehe za kifahari zinazokaribisha harusi kubwa nchini India. Isha Ambani, binti ya wa mwanamume tajiri zaidi nchini India anafunga ndoa na Anand ...
Polisi ya Kiislamu wamewakamata watu 19 wanaotuhumiwa kupanga harusi ya wapenzi wa jinsia moja katika mji wa Kano ulioko kaskazini mwa Nigeria, msemaji wa polisi amesema siku ya Jumanne. Kano ni ...
Mwanamfalme Harry atamuoa mchumba wake Meghan Markle katika sherehe kubwa leo Jumamosi katika kanisa la Kifalme la Mtakatifu George ndani ya kasri la Windsor. Mamilioni ya watazamaji katika ...
Kipindi cha Vijana Mubashara kimefanya mjadala wa wazi kuhusu gharama za harusi na ni kwa nini baadhi ya vijana hujiingiza kwenye madeni makubwa ilimradi tu waandae harusi kubwa. Je manufaa yake ni ...
Wawili hao ni rasmi sasa kuwa ni Mume na Mke, baada ya kufunga ndoa katika Kanisa la Angilika la Mtakatifu George katika eneo la Windsor. Wawili hao walishangiliwa na kusalimiwa na maelfu ya watu ...