FANI ya muziki Tanzania ikiwamo Bongo Flava inakumbwa na msukosuko, huku wasanii wakubwa wakikabiliwa na lawama kutoka kwa ...
MIAKA 28 iliyopita, Juma Kassim 'Sir Juma Nature' a.k.a Kibla kutoka Temeke alikuwa moja kati ya wasanii watatu wenye majina ...
Kauli ya Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo nchini Tanzania, Dk. Harrison Mwakyembe ya kusema kwamba kuanzia tarehe 28 Agosti 2019 ndio itakuwa mwisho wa kutumia kazi za wasanii nchini humo ...
Hatua hii ya Serikali nchini Tanzania, imekuja, baada ya hivi karibuni wimbi la wasanii wanaotumia dawa za kulevya likiendelea kuongezeka na kutishia mustakabali wa vijana ambao wamo kwenye tasnia ...
Polisi nchini Tanzania inawashikilia zaidi ya watu 10 wakiwemo wasanii maarufu na polisi waliotuhumiwa na Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam kuhusika na biashara ya dawa za kulevya. Miongoni mwa watu hao ...
Leo Utamaduni na Sanaa inajikita Tanzania ambako hekaheka na mshikemshike wa kisiasa unaendelea na wasanii, hasa wa upande wa Tanzania Bara, wamejiingiza kikamilifu kwenye harakati za uchaguzi mkuu wa ...
Makala ya Nyumba ya sanaa imejikita katika msiba wa msanii wa miondoko ya Hip HOP jijini Dar es Salaam nchini Tanzania Albert Mangweha aliyefariki ghafla nchini Afrika ya Kusini mwishoni mwa mwezi May ...
Katika burudani la Karibuni mabendi ya Taarabu nchini Tanzania yanyooshewa kidole cha kuwadhulumu wasanii wao.Mossy Suleiman aitaja Bendi kongwe ya East African Melody kuwa bendi inayodhulumu sana ...
Some results have been hidden because they may be inaccessible to you
Show inaccessible results