Mbinu mpya ya kusafirisha data ambayo hutumia mwangaza badala ya mawimbi ya radio imejaribiwa. Li-fi ina uwezo wa kumfanya mtumiaji kupata huduma ya mtandao mara 100 zaidi ya Wi-Fi na hutoa kasi ya ...
Waziri Mkuu wa China Li Qiang anazuru Pyongyang leo Alhamisi , Oktoba 9, kwa ziara rasmi ya "nia njema", kulingana na Wizara ...
Rais wa Korea Kaskazini Kim Jong Un ameongoza gwaride kubwa la kijeshi akionesha uwezo wake mkubwa wa makombora mbele ya viongozi wa kimataifa waliokuwepo nchini mwake.