Kuna aina mbali mbali za mazoezi lakini kuna baadhi ambayo huwa na manufaa ya kiafya inapokuja katika kujamiiana au tendo la ndoa kwa binadamu. Mazoezi ya mwili ni sehemu muhimu sana ya afya ya ...
Lakini sio lazima kwenda kwenye mazoezi - kubeba mifuko mizito ya ununuzi, na kuchimba bustani zote zinahesabu. Aina zote za mazoezi zinapendekezwa. NHS inawashauri watu wazima wenye zaidi ya ...