News

The Saturday, May 10 edition of the huge Nairobi tabloid that commands a sizeable readership in Bongo has a crime story on Page 8 entitled ‘Police link politician Aroko to meetings ...
Dar es Salaam. The ruling CCM will convene a Special National Congress on May 29 and 30, 2025, with the primary objective of ...
Baadhi wamekwenda mbali zaidi na kusema, pamoja na kutoonekana majukwaani, hakuonekana hata katika msiba wa Makamu wa Kwanza ...
Mkutano huo, utatanguliwa na kikao cha Halmashauri Kuu Mei 28, baada ya Kamati Kuu Mei 26, vyote vitafanyika jijini Dodoma.
Mtoto wa kiume wa Hayati Cleopa Msuya, aitwaye Job Msuya, amesema baba yake aliagiza akiondoka duniani, kijengwe Chuo Kikuu cha Mwanga, ambacho hakitumii vitabu vingi kama kumbukizi yake. Msuya (94) ...
Hatimaye, mwili wa Waziri Mkuu na Makamu wa Kwanza wa Rais (Mstaafu), Hayati Cleopa David Msuya, umefikishwa leo katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro (KIA) majira ya saa 2:22 asubuhi.
NYUMBU ni wanyamapori wanaopatikana kwa wingi katika mbuga na hifadhi mbalimbali nchini. Hawa ni wanyama wanaodhaniwa na baadhi ya watu kuwa hawana akili, lakini si kweli kwamba hawana akili ndio ...