Kaimu Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Afya na Masuala ya UKIMWI, Dk.Christina Mnzava ameipongeza Serikali kwa ...
WAKALA wa Vipimo (WMA) umewataka watanzania pindi wanapoagiza mchanga ama kokoto kwa ajili ya ujenzi kuagiza kwa mita za ...
Katika jitihada za kuongeza ufanisi katika uzalishaji wa zao la korosho wataalam 75 kutoka katika nchi tisa za Afrika ...
Wateja wa Benki ya CRDB sasa watakuwa na uwezo wa kukopa hadi Sh milioni moja bila kuweka dhamana kupitia huduma mpya ya ...
“Natoa miezi miwili tu, barabara ziwe zimekamilika ifikapo Mei 30, 2025, ikiwa ni pamoja na mitaro na taa za barabarani.
Hayo yamebainishwa leo Machi 24, 2025 na Mkurugenzi wa Msama Promotion, Alex Msama wakati akizungumza katika kikao na ...
Mamlaka ya Mafunzo ya Amali Zanzibar (VTA) inatarajia kujenga vyuo vipya sita ambavyo vitajikita zaidi kutoa elimu katika ...
Kampuni ya Beyond Wild Impact, inayofanya shughuli za utalii katika Hifadhi ya Taifa Serengeti, imesaini makubaliano na ...
Kampuni ya Kitalii Nomad Tanzania inayofanya shughuli katika Hifadhi ya Taifa ya Serengeti mkoani Mara, imetoa msaada wa ...
Katibu Mkuu wa Wizara ya Katiba na Sheria, Eliakim Maswi amesema Serikali inatambua mchango wa watetezi wa haki za binadamu ...
Mtipa alikuwa akizungumzia uhaba wa watumishi katika Zahanatiya Kijiji cha Mwamanenge katika wilaya hiyo ya Maswa, ambayo pia ...
Mapendekezo hayo yametolewa Machi 19,2025 na Mwenyekiti wa Wamiliki wa Shule na Vyuo Binafsi Tanzania (TAPIE), Dk. Mahmoud ...