News

Mgombea wa nafasi ya urais kupitia tiketi ya Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA), Salum Mwalimu, amesema endapo ataingia madarakani atafanya mabadiliko makubwa kwenye mifumo yote ya nchi, hususan mch ...
Mahakama Kuu, Masjala Ndogo Dar es Salaam, imesema usiri wa mawasiliano kati ya mshtakiwa na wakili wake ni haki ya msingi, ...
DRONI ni ndege zisizo na rubani zinazotumia teknolojia ya akili unde zinazotumiwa kwa shughuli za ujasusi na mashambulizi ...
NDANI ya miaka minne ya uongozi serikali ya awamu ya sita, madarasa yameongezeka kutoka 128,425 hadi 155,330 ngazi ya msingi ...
MKUU wa Mkoa wa Kilimanjaro, Nurdin Babu, amechemka hadharani kutokana na kile alichokiita huduma za aibu katika Hospitali ya ...
Wanamtandao wa taasisi ya Sauti ya Jamii Kipunguni wamefanya mjadala kuhusu Dira ya Taifa ya Maendeleo ya mwaka 2025–2050, ...
MAKAMU wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Philip Mpango, ametoa maelekezo saba kwa Jeshi la Polisi kuelekea ...
KATIKA kila jamii, vijana ni nguzo imara inayotegemewa leo na kuaminiwa kesho. Wakiwa na nguvu, ari, ndoto na ubunifu wa hali ya juu, vijana ndio injini ya maendeleo ya taifa. Hata hivyo, licha ya umu ...
KWA heshima na simanzi kubwa, mwili wa Spika mstaafu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Hayati Job Yustino Ndugai, ...
Halmashauri ya Mji Handeni, mkoani Tanga, imetoa wito kwa wawekezaji kujitokeza kuwekeza katika mradi wa kuchakata mawe na ...
ZIKIWA zimebaki wiki mbili kuanza kwa kampeni za Uchaguzi Mkuu, Chama Cha Mapinduzi (CCM) leo kinatarajia kufanya harambee ya ...
Mgombea nafasi ya Urais kupitia tiketi ya Chama cha Kijamii (CCK), David Mwaijojele, amesema endapo Tume Huru ya Taifa ya ...