News

Ushindi huo haukupatikana kwa kubahatisha kwa Yanga kwani ilionekana kutawala muda mwingi wa mechi ikitengeneza nafasi nyingi ...
MASHABIKI wa Chelsea wanaamini kwamba timu yao imepata fursa nzuri ya kufika fainali ya Kombe la Dunia la Klabu huko Marekani kwa msaada wa makosa ya Harry Kane kukosa bao la wazi la ...
HALI ya hewa imeendelea kuwa shida kwenye fainali za Kombe la Dunia la Klabu huko Marekani baada ya kipute cha Boca Juniors ...
WINGA Mhispaniola, Nico Williams ameiambia klabu yake ya Athletic Bilbao kwamba anataka kuhama kwenda kujiunga na Barcelona ...
LABU za Big Six za Ligi Kuu England hadi sasa zinaundwa na vikosi vya thamani ya Pauni 5 bilioni baina yao huku pengo la ...
NAHODHA wa Yanga, Dickson Job na kipa wa timu hiyo, Djigui Diarra wametishwa mabomu ya kikosi hicho baada ya kutangulia ...
KIPA namba moja wa Yanga, Djigui Diarra ameibua gumzo muda mchache baada ya kikosi hicho kuingia kukagua Uwanja wa Benjamini ...
UWANJA wa Benjamin Mkapa Dar es Salaam ambao utatumika kuchezewa mechi ya dabi kati ya Yanga na Simba uko mweupe kwenye ...
MASHABIKI wa Yanga wakorofi sana, hebu soma hii. Wakati Simba ikimaliza kuingia geti kubwa la Uwanja wa Benjamin Mkapa, kuna ...
KIKOSI cha Simba kimekuwa cha kwanza kuwasili kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa katika pambano la timu hiyo dhidi ya watani zao ...
KIKOSI cha Simba kimekuwa cha kwanza kuwasili kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa ikiwatangulia wenyeji, Yanga kwa dakika mbili ...
MSHAMBULIAJI wa Singida Black Stars, Mkenya Elvis Rupia amesema ilibaki kidogo tu aondoke dirisha dogo la usajili la Januari ...