KOCHA wa Tabora United, Mkongomani Anicet Kiazayidi amesema ana kazi kubwa ya kufanya katika michezo ya mzunguko huu wa pili, ...
WADAU tofauti wa michezo na tiba wametoa maoni juu ya kile wanachoamini ni suluhisho la kumaliza changamoto ya uwepo wa ...
LEBRON James alihitimisha usiku wa kihistoria juzi aliposhiriki katika mchezo wa Los Angeles Lakers dhidi ya Portland Trail Blazers ambao walishinda kwa pointi 110-102.
ZIKIWA zimesalia siku mbili ili kuchezwa Mzizima dabi, kocha wa Azam Rachid Taoussi ajitanua kifua mbele kwa Simba akisema kikosi chake hakina sababu za kufungwa na Wekundu wa Msimbazi.
WAKATI mashabiki wa KenGold wakisubiri kwa hamu kumuona uwanjani staa mpya wa timu hiyo, Bernard Morrison, nyota huyo bado ...
KUNA muda kwenye maisha unajiwekea mipango yako au kudhania sehemu fulani inawahusu watu wa aina tofauti na wewe kumbe haiko ...
Licha ya kukaa miaka zaidi ya minane bila kutoa kazi mpya, bado nyimbo za Shaa zilizompatia umaarufu zinaendelea ...
MAJUIZI nilikwenda kwenye shoo ya 'stand up comedy' inayoitwa All Stars ambayo iliandaliwa kama sehemu ya kujiandaa na Tuzo za Comedy Tanzania. Nikiwa pale walipanda wasanii wengi, ...
LAZIMA tukubali kwamba sio kila mwanamuziki anayefanya vizuri au mwenye nguvu ya ushawishi anaweza kuisimamia rekodi lebo na ...
MASHABIKI wa Yanga wana kiu ya kumwona nyota mpya wa timu hiyo, Jonathan Ikangalombo ‘Ikanga Speed’ aliyesajiliwa dirisha ...
KUWENI makini! Ndivyo unavyoweza kusema kwa timu pinzani pale zinaposhuka uwanjani kucheza na Simba, kwani zikijichanganya kidogo tu zijue mapema inakula kwao mapema.