News

Bunge la Iran limepitisha muswada wa kusimamisha ushirikiano na Shirika la Kimataifa la Kudhibiti Nguvu za Atomiki, IAEA.
Jeshi la serikali lilitangaza Jumanne, Juni 24, kwamba limepanua eneo lake la operesheni hadi Kordofan na Darfur. Kulingana ...
Polisi wamewarushia vitoa machozi maelfu ya Wakenya ambao wamekuwa wakiandamana mjini Nairobi na miji mingine ya Kenya kufanya kumbukumbu ya Mswada wa Fedha 2024 ambapo waandamanaji waliuliwa ...
Mpango wa usitishwaji vita kati ya Israeli na Iran, uliotangazwa na Rais wa Marekani Donald Trump, unaonekana kutekelezwa ...
Hegemony ni nadharia ya dola moja kuongoza nyingine kisiasa, kiuchumi na kijeshi. Taifa moja linakuwa kiranja wa mataifa ...
Katika mchezo huo, Chelsea imeibuka na ushindi mnono wa mabao 3-0 ambao umeifanya imalize katika nafasi ya pili kwenye msimamo wa kundi D la mashindano hayo na kutinga hatua ya 16.
Trump atumia maneno makali kuzikosoa Israel na Iran baada ya pande zote mbili kukiuka makubaluiano ya kusitisha vita.
KWA wazazi wengi duniani, kama kuna kitu kinachowapa furaha ni kuona watoto wao wanafikia ndoto za juu kabisa za mafanikio ...
Kwa upande wa mabingwa watetezi wa Ligi Kuu Tanzania Bara, Yanga wao wanaonekana ni hatari zaidi kufunga mabao wakiwa nje ya eneo la hatari. Wakati Simba wana bao moja tu wakifunga nje ya boksi, ...
NI bomu jipya kwa maisha ya watu. Hivi ndivyo inavyoweza kuelezwa kutokana na hatari inayoinyemelea jamii kutokana na matumizi ya dawa kwa wanawake hasa wakati wa hedhi. Matumizi ya dawa za kukata ...
Clark Fairley was a winner in the ISA 3-Year-Old Filly Pace, Division 1. He guided Littleoldme to the win in 2:08. He then finished out the racing on the day in the Topline 3-Year-Old & Up ...