News

YANGA leo Septemba 12 inafanya tamasha la saba la Wiki ya Mwananchi tangu lilipoanzishwa 2019, huku shauku kubwa ya mashabiki ...
Unayajua mahaba binafsi wewe? Soma hapa! Shabiki mmoja wa Simba ameshtua baada ya kufika Uwanja wa Benjamin Mkapa kwenye ...
Maelezo: Ni timu zipi zitakutana msimu mpya wa Ligi Kuu ya Tanzania 2025/2026? Ubashiri kutoka kwa wauzaji wa ubashiri na ...
NJE ya Uwanja wa Benjamin Mkapa mambo yameanza kunoga kwa mashabiki wa Yanga kuonekana kwa wingi wakiwa wanashuka kutoka ...
USALAMA umezingatiwa katika hitimisho la Wiki ya Mwananchi, huku askari wakionekana katika maeneo yote ya nje ya uwanja wa ...
LICHA ya mashabiki wa Yanga kuendelea kumiminika kuingia Uwanja wa Benjamin Mkapa kwa ajili ya kushuhudia Kilele cha Wiki ya ...
Kipa, Andre Onana ataongeza mshahara wake mara mbili huko Trabzonspor baada ya kukamilisha uhamisho wa mkopo wa msimu mzima na kuyapa kisogo maisha magumu Manchester United.
Kwa kuangalia ratiba ya matukio kwa msimu huu ni kwamba mara baada ya mechi ya Ngao ya Jamii siku inayofuata Ligi Kuu itaanza rasmi saa 24 baadaye kwa michezo miwili ukiwamo ule wa KMC dhidi ya Dodoma ...
BAADA ya kuachiwa kwa video ya siku ya mshambuliaji mpya wa Liverpool, Alexander Isak, akifanya mazoezi na timu, mashabiki ...
MGOMBEA urais wa Benfica, Joao Noronha Lopes, ameweka wazi mpango wake mkubwa wa kumrejesha Bernardo Silva katika klabu yake ...
ILE shoo ya kufungulia msimu kwa kikosi cha Yanga inafanyika leo, wakati Wananchi watakapohitimisha msimu wa saba wa Kilele ...