All
Search
Images
Videos
Shorts
Maps
News
More
Shopping
Flights
Travel
Notebook
Report an inappropriate content
Please select one of the options below.
Not Relevant
Offensive
Adult
Child Sexual Abuse
Watch Mabasi TV
Online
Mabasi TV
Sports
Mabasi TV
Live
How to Subscribe to
Mabasi TV
Mabasi TV
News
Mabasi TV
Comedy
Mabasi TV
Music
Mabasi TV
Shows
Mabasi TV
Movies
Nyehunge Express
Best of
Mabasi TV 2023
Tanzania News Today
Mabasi
Mapya Yote Ya Ally's Star Bus
Mabasi TV
Drama
Ally Mweusi Mnyama
Mabasi
Mapya Ya Ally's Star Bus
East Africa Got Talent
Campuni Za
Mabasi Tanzania
Ally's Star Bus Mwanza to Mpanda
Bongo Flava Videos
Swahili Movies 2023
Length
All
Short (less than 5 minutes)
Medium (5-20 minutes)
Long (more than 20 minutes)
Date
All
Past 24 hours
Past week
Past month
Past year
Resolution
All
Lower than 360p
360p or higher
480p or higher
720p or higher
1080p or higher
Source
All
Dailymotion
Vimeo
Metacafe
Hulu
VEVO
Myspace
MTV
CBS
Fox
CNN
MSN
Price
All
Free
Paid
Clear filters
SafeSearch:
Moderate
Strict
Moderate (default)
Off
Filter
Watch Mabasi TV
Online
Mabasi TV
Sports
Mabasi TV
Live
How to Subscribe to
Mabasi TV
Mabasi TV
News
Mabasi TV
Comedy
Mabasi TV
Music
Mabasi TV
Shows
Mabasi TV
Movies
Nyehunge Express
Best of
Mabasi TV 2023
Tanzania News Today
Mabasi
Mapya Yote Ya Ally's Star Bus
Mabasi TV
Drama
Ally Mweusi Mnyama
Mabasi
Mapya Ya Ally's Star Bus
East Africa Got Talent
Campuni Za
Mabasi Tanzania
Ally's Star Bus Mwanza to Mpanda
Bongo Flava Videos
Swahili Movies 2023
1:28
#KURASA Madereva wa mabasi yanayofanya safari zake kuanzia Stendi kuu ya mabasi Mbeya wamehimizwa kufuata na kuzingatia sheria za usalama barabarani ili kuepuka ajali. Akizungumza na madereva hao Mkuu wa Kikosi cha usalama barabarani Mkoa wa Mbeya Mrakibu Mwandamizi wa Polisi (SSP) Notker Kilewa amesema wataendelea na oparesheni mbalimbali za ukamataji. #EastAfricaTV | East Africa TV
1.5K views
10 months ago
Facebook
East Africa TV
2:01
Mawakala watano wa mabasi ya mikoani wanaohudumia katika kituo cha mabasi ya mikoani na nje ya nchi cha Magufuli kilichopo Mbezi, Dar es Salaam wamekamatwa na Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA) kwa tuhuma za kufanya ulanguzi wa bei za tiketi wakati huu ambapo uhitaji wa kusafiri umeongezeka maradufu. Esterbella Malisa ameshuhudia ziara ya Mkurugenzi Mkuu wa LATRA, Habibu Suluo kituoni hapo. Mhariri @moseskwindi | Azam TV
107.8K views
5 months ago
Facebook
Azam TV
0:59
Abiria wa mabasi ya Mwendokasi akiwasilisha Changamoto kwa Mkuu wa Mkoa wa Dar Es Salaam, Albert Chalamila Baada ya kutembelea kituo Cha Mwendokasi Cha Kimara Mwisho. | Gilly Bonny Tv
436.3K views
7 months ago
Facebook
Gilly Bonny Tv
0:23
Mpishi wa Mgahawa katika kituo cha Mabasi yaendayo Wilayani na Mikoani cha Mbalizi Wilaya ya Mbeya Mkoani Mbeya akisonga kwa kuitoa sufuria juu ya jiko na kushusha chini huku akiendelea na zoezi la kusonga ugali. #EastAfricaTv | East Africa TV
169.2K views
Oct 28, 2023
Facebook
East Africa TV
3:00
#EATVSAA1 Katika stendi nyingi za mabasi nchini, kumekuwa na changamoto ya baadhi ya abiria kutelekezwa na ndugu au jamaa wanaowaita mijini kwa shughuli mbalimbali. Wengi hujikuta wakihangaika bila msaada, na mara nyingine kukwama bila kujua cha kufanya. #EastAfricaTV | East Africa TV
3.3K views
8 months ago
Facebook
East Africa TV
1:15
Mawakala wa mabasi yaendayo mikoani kutoka mkoani Dar es Salaam wamesema kuwa nauli za kuelekea mikoani hazijapanda kama abiria wengi walivyodai, bali wingi wa watu na mahitaji makubwa ya safari umepelekea kutokua na nauli punguzo kama ilivyozoeleka nyakati ambazo sio za sikukuu. #Kurasa #EastAfricaTV | East Africa TV
2.6K views
Dec 29, 2024
Facebook
East Africa TV
0:14
Follow the MABASI TV UPDATE channel on WhatsApp: https://whatsapp.com/channel/0029Va8gaQP47XeIKkL9IQ3F | Mabasi TV
54.5K views
2 months ago
Facebook
Mabasi TV
2:08
Uwepo wa Huduma ya Azam TV katika mabasi ya Shabiby yanayofanya safari kutoka Dodoma kwenda Dar es Salaam kumeifanya kampuni hiyo ya mabasi kuongeza idadi ya abiria mara dufu ikilinganishwa na hapo awali. Uongozi wa mabasi hayo umeiambia Azam TV kuwa abiria wengi wanaojitokeza hivi sasa moja ya swali wanalouliza ni kuwa kama huduma hiyo wataipata kwenye basi husika. Imeandaliwa na @official_jennifersumi #safari #hudumayaAzamTV #mabasiyashabiby #Dodoma #abiria | Azam TV
23K views
Dec 13, 2023
Facebook
Azam TV
1:09
#VIDEO Abiria wanaosafiri kwa mabasi kutoka wilaya ya Kiteto kuelekea Dodoma, wanalazimika kushuka njiani ili basi lipite likiwa tupu kutokana na ubovu wa barabara eneo la Zoisa Wilayani Kongwa Mkoani Dodoma. Hali hii imefanya baadhi yao kulala katika eneo hilo hadi warekebishe barabara kwa majembe ya mikono hali inayotishia usalama wao na sumbufu mkubwa. #KURASA #EastAfricaTV | East Africa TV
9.4K views
3 months ago
Facebook
East Africa TV
0:35
#VIDEO Mabasi mapya ni kama yamepunguza adha ya usafiri kwa asilimia kubwa, EATV inashuhudia mabasi hayo ya kijani yakifanya kazi asubuhi hii. Hakuna wingi wa abiria katika vituo vya katikati isipokua hapa Kimara mwisho ambapo watu ndipo wanapoanzia safari kwa wingi. Kwa ujumla hali ya leo ni shwari. #EastAfricaTV | East Africa TV
198.8K views
7 months ago
Facebook
East Africa TV
0:45
#VIDEO Mabasi Mapya yaendayo haraka ya Kampuni ya Mofat yameanza kufanya kazi asubuhi ya leo Oktoba 2,2025 yakibeba abiria katika vituo vya mwendokasi kutoka Gerezani kwenda Kimara-Mbezi. Hii inafuatia ahadi ya Mkuu wa Mkoa wa Dar Es Salaam Albert Chalamila kwamba mabasi mapya machache yangeletwa ndani ya wiki hii ili kupunguza adha ya usafiri, baada ya kufika kituo cha mwendokasi Kimara na kushuhudia kadhia wanayopitia wananchi katika usafiri huo. licha ya kuletwa nchini kwa ajiri ya ruti ya Mb
26.9K views
7 months ago
Facebook
East Africa TV
1:08
Kampuni ya MOFAT kwa kushirikiana na UDART, leo wameingiza rasmi mabasi mapya ya mwendokasi barabarani yaliyoongezwa kwenye ruti za kuanzia Kimara kuelekea Gerezani, Kivukoni na Morocco. 🔴 Tufuatilie kupitia YouTube ya Global TV, like, comment ili kuendelea kuhabarika kila siku kwa habari mbalimbali zenye ukweli na uhakika. #Globaltv #globaltvupdates #globaltvonline #255globalradio #globalpublishers | Global Publishers
5.2K views
7 months ago
Facebook
Global Publishers
0:28
Namna ambavyo msafara wa mabasi na wale ambao wanatembea kwa miguu walivyokuwa katika maaandamo wakati wanaingia Uwanja wa Jamhuri Dodoma kwenye sherehe za maadhimisho ya miaka 48 ya @ccmtanzania. Matukio yote ya hapa Uwanja wa Jamhuri Jijini Dodoma utaendelea kuyapata kupitia kurasa za mitandao yetu ya kijamii ya @efmtanzania & @tvetanzania. Pia tupo live kupitia @tvetanzania 📽🫴: @nassoro_buriani #EDigitalUpdates #Miaka48yaCCM | TV-E
338.8K views
Feb 5, 2025
Facebook
TV-E
2:40
Baadhi ya wasafiri wanaotumia mabasi ya kwenda mkoani Morogoro wameliomba Shirika la Reli Tanzania(TRC) kuendelea kutoa elimu juu ya namna ya kufanya ununuzi wa tiketi za safari za treni hiyo kwa kuwa wanakumbana na mkwamo wakati wa kukata tiketi za usafiri huo na kuwafanya waendelee kutumia mabasi ambayo wamedai yanawasubirisha vituoni kwa muda mrefu. Wahariri ||Onike Masayanyika, @official_jennifersumi #AzamTVUpdates #treni #shirikalarelitanzania | Azam TV
327K views
Jun 16, 2024
Facebook
Azam TV
6:25
Ukweli wote kuhusu mabasi ya Esther Luxury Coach kumilikiwa na Waziri mkuu Dkt Mwigulu, mmiliki wake Joseph Didas Ngeleuya aweka wazi kila kitu, atoa siri hii. #mabasimikoani #allbuses #leomedia #siasaleo | Leo TV Online
6.5K views
4 months ago
Facebook
Leo TV Online
2:24
Kampuni ya mabasi New force yazuiliwa kuanza safari alfajiri kutoka na kusababisha hajali za maramara Latra yaingilia kati Mkurugenzi Mkuu wa Latra Habibu Suluo | Leo TV Online
15.3K views
Jul 3, 2023
Facebook
Leo TV Online
0:46
Wakala wa Mabasi yaendayo Haraka (Dart) ametangaza kurejeshwa kwa shughuli za usafirishaji kwa barabara ya Morogoro kuanzia kituo kikuu cha Ubungo kwenda Kivukoni gerezani na Muhimbili. #AzamTVUpdates Mhariri | John Mbalamwezi | Azam TV
24.4K views
5 months ago
Facebook
Azam TV
2:31
Zaidi ya mabasi 14 ya kampuni ya Abood yanayofanya safari zake katika mikoa mbalimbali nchini yamefungwa visimbuzi vya #AzamTV ili kurahisisha upatikanaji wa huduma bora na kutoa fursa kwa wateja kutazama vipindi vyote vya Azam TV wawapo safarini #AzamTVUpdates Mhariri | John Mbalamwezi | Azam TV
63.2K views
Oct 22, 2024
Facebook
Azam TV
4:21
Huduma za mabasi yaendayo haraka katika Barabara ya Morogoro… kutoka Kimara kuelekea Gerezani - Kivukoni na Morocco - zimerejea rasmi leo kufuatia agizo la Waziri Mkuu, Mwigulu Nchemba aliyetaka huduma hiyo irejee mara moja. Farasi imezungumza na baadhi ya abiria ambao wameeleza kufurahishwa na kurejea kwa usafiri huo, wakisema kumerahisisha safari zao na kupunguza usumbufu waliokumbana nao wakati huduma iliposimama. #AzamTVUpdates Juliana James Mhariri | John Mbalamwezi | Azam TV
8.1K views
5 months ago
Facebook
Azam TV
3:24
Uhaba wa usafiri wa mabasi kutoka Dar es salaam kwenda mikoa mbalimbali nchini umeilazimu Mamlaka ya Udhibiti wa Usafiri Ardhini (LATRA) kufungua maombi ya leseni za muda kwa wasafirishaji ili kuongeza idadi ya mabasi kipindi hiki cha mwisho wa mwaka. Hatua hii ni baada ya kushuhudiwa kwa idadi kubwa ya wasafiri hasa katika stendi kuu ya mabasi ya Magufuli jijini Dar es salaam. #AzamTVUpdates Mhariri | @claud_jm | Azam TV
286.4K views
5 months ago
Facebook
Azam TV
2:46
Baadhi ya abiria wa mabasi wanaosafiri kutoka Dar es Salaam kuelekea mikoa mbalimbali nchini wamelalamikia kutopatikana kwa urahisi tiketi za kusafiria huku mawakala nao wakilaumiwa kupandisha kiholela bei za nauli. Hali hiyo inajitokeza wakati ambao kuna kundi kubwa la watu wanaosafiri kwenda mapumziko na kusherehekea sikukuu za mwisho wa mwaka katika maeneo mbalimbali nchini. #azamnewsupdates Mhariri|@official_jennifersumi | Azam TV
96.8K views
Dec 23, 2024
Facebook
Azam TV
1:33
Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa ameeleza sababu za huduma ya mabasi yaendayo haraka Dar es Salaam katika njia ya Mbagala hadi katikati ya mji kuanza Mei mwaka huu badala ya Machi, kama ilivyopangwa awali. #AzamTVUpdates Mhariri | John Mbalamwezi | Azam TV
5.4K views
Mar 20, 2025
Facebook
Azam TV
1:41
Abiria wanaosafiri na mabasi ya Abood sasa wataweza kufurahia burudani ya moja kwa moja kutoka #AzamTV, baada ya visimbuzi maalum kufungwa kwenye zaidi ya mabasi 20 ya kampuni hiyo yanayofanya safari zake nchi nzima. Zoezi la ufungaji wa visimbuzi na makabidhiano limefanyika katika ofisi za Abood zilizopo Ubungo, Dar es Salaam, ikiwa ni sehemu ya kuongeza thamani ya huduma kwa wateja kwa kuwapa fursa ya kutazama vipindi vya michezo, habari, filamu na burudani wakiwa safarini. #azamnewsupdates Mh
20.1K views
10 months ago
Facebook
Azam TV
3:04
Baadhi ya mabasi ya masafa marefu mkoani Shinyanga yameripotiwa kuendesha safari kwa kuzidisha idadi ya abiria, kinyume na taratibu zilizowekwa na LATRA, hali inayochochea ongezeko la gharama kwa wasafiri katika msimu huu wa sikukuu za mwisho wa mwaka. Uchunguzi wa waandishi wa habari ulibaini kuwa baadhi ya abiria walilazimika kulipia nauli zaidi ya kiwango kilichopangwa ili kupata nafasi ya kusafiri, huku wengine wakisafiri wakiwa katika mazingira yasiyo salama. Hatua hiyo ilijitokeza wakati o
28.8K views
5 months ago
Facebook
Azam TV
3:44
Baadhi ya wananchi wa Dar es Salaam waliokuwa wakitumia usafiri wa mabasi ya mwendokasi wamesema kuwa kwa sasa wanakabiliwa na adha kubwa ya usafiri kutokana na kusitishwa kwa huduma za mabasi hayo. Miongoni mwa changamoto wanazopitia ni pamoja na kukaa vituoni kwa muda mrefu wakiendelea kusubiri huduma ya usafiri wa daladala. #AzamTVUpdates Mhariri | John Mbalamwezi | Azam TV
160.6K views
6 months ago
Facebook
Azam TV
2:22
Je Mabasi ya Tilisho, BM Coach, Abood, Extra Luxury Watavunja Stendi zao Arusha Baada ya agizo hili?? Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe. CPA Amos Gabriel Makalla ameiagiza Wakala wa barabara za Mijini na Vijijini (TARURA) Mkoa wa Arusha, Jeshi la Polisi pamoja na Wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS) kushughulikia kadhia ya foleni kwenye Jiji la Arusha kwa wakati ili kuondoa vikwazo katika shughuli za kila siku za kiuchumi na Kijamii ndani ya Jiji la Arusha. Katika kutekeleza agizo hilo, leo Jumatano
57.9K views
4 months ago
Facebook
Leo TV Online
3:42
Usafiri wa mabasi kutoka na kuingia Dar es Salaam umeendelea kuwa kitendawili kutokana na uchache wa mabasi, huku Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA) ikibainisha kuwa leo mabasi yaliyotoka Dar es Salaam kwenda mikoa mbalimbali hayazidi 30, wakati kwa kawaida kwa siku huondoka takribani mabasi 260. #AzamTVUpdates Mhariri | John Mbalamwezi | Azam TV
29.7K views
5 months ago
Facebook
Azam TV
2:50
Baadhi ya abiria wa mabasi ya safari ndefu za mikoani wametoa malalamiko yao kwa madereva wanaowapeleka katika hoteli na migahawa yenye gharama kubwa za vyakula pindi wanaposafiri kwa madai ya kushindwa kumudu gharama hizo na kuziomba mamlaka zinazohusika kuangalia suala hilo ili waweze kupata unaafuu pindi wawapo safarini. Abiria hao wameongeza kuwa licha ya kuuziwa chakula kwa gharama kubwa lakini bado chakula chenyewe huwa ni kidogo na hakikidhi haja ya mtumiaji. (Imeandaliwa na Joyce Mwakali
287.2K views
Jan 31, 2024
Facebook
Azam TV
1:17
Baadhi ya mabasi yamerejea mkoani Mtwara na kuendelea na safari kwenda Dar es Salaam kupitia Tunduru, Songea, Makambako, Iringa, Morogoro kisha Dar es Salaam huku nauli ikiwa shilingi 120,000. Wahariri:Onike Masayanyika , @official_jennifersumi #AzamTVUpdates | Azam TV
109.8K views
May 6, 2024
Facebook
Azam TV
0:50
#VIDEO Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Kassim Majaliwa amezitaka kampuni zinazosimamia mabasi yaendayo haraka maarufu kama Mwendokasi kuweka ratiba ili abiria muda sahihi wa kwenda. Majaliwa ameyasema hayo leo wakati alipofanyaziara katika vituo vya Mwendokasi vilivyopo jijini Dar es Salaam. #EastAfricaTV | East Africa TV
146.3K views
7 months ago
Facebook
East Africa TV
See more
More like this
Feedback